Thursday, August 9, 2012

MZIGO MPYA UMETUA NDANI YA BONGO KWA WOTE WAPENDAO KUPENDEZA NA KUTOKELEZEA WAKIWA SMART

Cheeks Fashion leo imekuletea pamba mpya kwako wewe unayependa kupendeza na kuonekana smart kwa washikaji wako na ndugu zako. Fashion mpya zimetua....Fika katika duka letu lililoko Kinondoni Manyanya kama unaelekea Kinondoni Makaburini. Ukifika uliza Cheeks Fashion utaonyeshwa na utakutana na warembo kibao wakichagua pamba zao. Utapokelewa kwa ukarimu na wauzaji wa maduka yetu, nao wakiwa wamepiga pamba safi.


Njoo ujionee!!!

[Picha zimepigwa na RUMA AFRICA (Rulea Sanga)
Mawasiliano yetu ni
+255 715 85 15 23
B/Pepe: rumatz2011@yahoo.com
Blogu: www.rumaafrica.blogspot.com
Ofisi: Sinza Afrikasana, nyuma ya soko la matunda na mboga
Karibuni Sana












































No comments:

Post a Comment