Wednesday, August 22, 2012

PAMBA KALI KUTOKA CHEEKS FASHION ZIMEINGIA

Wadada wa mjini fikeni Cheeks Fashion kujizolea pamba kali kutoka Ulaya kwa bei poa sana.
Mwanamke kupendeza. Utakutana na wajanja wa mjini wanaopenda kutokelezea kwa mapigo ya kisasa.

Tunapatikana
Kinondon Manyanya mkabala na Togo
Dar es Salaam, Tanzania
Simu: +255 173 558 494

Picha na Graphics zimefanywa na
Ruma Africa
kwa mkono wa Rulea Sanga
Simu +255 715 85 15 23
B/Pepe: rumatz2011@yahoo.com
Blogu: www.rumaafrica.blogspot.com
OR
www.rumaafricajobs.blogspot.com

KARIBUNI SANA
GRAPHIC DESIGNER:

No comments:

Post a Comment